Call / WhatsApp +255673378129

May 2, 2023

MAKOSA KATIKA UFUNGWAJI WA DISH


Wingi wa makampuni ya visimbuzi imekuwa fursa kwa vijana wengi kuwa mafundi, ni jambo zuri ila nawasihi mzingatie kujifunza ili kufanya kazi kwa ustadi..
Haya ni baadhi ya makosa ambayo yanafanywa na mafundi wengi wakati wa kufunga kisimbuzi cha dish..
 

Share:

Jan 23, 2023

MAFUNDI WA DSTV TANZANIA

 Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!

Mafundi wa kufunga visimbuzi vya DStv kwa Tanzania nzima:-

  • Umenunua mpya unahitaji kufungiwa
  • Umehama jengo unataka kufungiwa
  • Inasumbua unataka kufanyiwa repair 
  • Unataka kufungiwa kwenye Office katika mfumo wa office
  • Unataka kufungiwa kwenye Sports bar kwenye mfumo wa HD
  • Unataka kufungiwa kwenye Hotel, Lodge n.k kwenye mfumo ambao kila room atajibadilishia channels mwenyewe akiwa room.
  • Unataka kufungiwa kwenye Apartment ambapo kila mpangaji atakuwa anaingia na kisimbuzi chake tu

 Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10, tunakusikiliza kisha tunakuhudumia kutokana na mfuko wako kwa kuzingatia ubora!

Tanzania nzima tunafika kutegemea na kazi utakayotupatia!

Piga +255784378129 WhatsApp +255658046655


Tanesco HQ - Ubungo D'salaam.


Opp. Ocean road hospital - D'salaam


Opp. Ocean road hospital  - D'salaam 




Dar city view hotel - D'salaam 





Tanesco HQ - D'salaam 


Lodge - Dodoma


Settings zikiendelea kwenye Hotel ili kufanya rooms zote ziweze kuwa na channels zilizo clear!


Settings kwenye Apartment ( hapa tunasambaza Cable kwenye jengo lenye point ( tvs ) zaidi ya 100


Tunahakiki baada ya kufunga dish n kuweka signal!


Control room ambayo ni ya kawaida tuu lakini nzuri na safi!


Tunafanya kwenye ubora zaidi!


Satellite dish aina ya C band nazo tunafunga!



Settings zikiendelea kukamilisha control room


Signal imeshafika, kinachofata hapa ni kufunga tv tu!




Share:

Jan 1, 2023

MAFUNDI WA AZAM TV TANZANIA

  Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!

Mafundi wa kufunga visimbuzi vya DStv kwa Tanzania nzima:-

  • Umenunua mpya unahitaji kufungiwa
  • Umehama jengo unataka kufungiwa
  • Inasumbua unataka kufanyiwa repair 
  • Unataka kufungiwa kwenye Office katika mfumo wa office
  • Unataka kufungiwa kwenye Sports bar kwenye mfumo wa HD
  • Unataka kufungiwa kwenye Hotel, Lodge n.k kwenye mfumo ambao kila room atajibadilishia channels mwenyewe akiwa room.
  • Unataka kufungiwa kwenye Apartment ambapo kila mpangaji atakuwa anaingia na kisimbuzi chake tu

 Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10, tunakusikiliza kisha tunakuhudumia kutokana na mfuko wako kwa kuzingatia ubora!

Tanzania nzima tunafika kutegemea na kazi utakayotupatia!

Piga +255784378129 WhatsApp +255658046655

Tukifunga huwa tunafunga hivi!

Somewhere in Msasani - D'salaam 

Somewhere in Msasani - D'salaam

Tanesco HQ - D'salaam

Salaam Hotel - D'salaam

Channels searching ( Transit Motel ) - D'salaam 

Channels searching ( Lodge ) - Dodoma 

Cable installations ( Dar city view ) - D'salaam 

Control room ( King D hotel ) - D'salaam 

Dish installation 

RG 11 Coaxial cable 

Control room

Instagram @mustaphamadish 


Share:

Oct 10, 2022

CODE ZA VISIMBUZI TANZANIA

Kila kisimbuzi kina CODE yake katika kurahisisha mteja kuweza kujihudumia mwenyewe pasipo kuwasiliana na huduma kwa wateja, kutokana na ukweli kwamba kuna huduma nyengine sio lazima upige simu, hivyo tumia CODE hizi  kwa kubofya kwenye simu yako kisha itakuletea muongozo ambao utaufata ila sharti la kwanza lazima uwe na account namba ama smartcard namba na pindi unapoona haijawa msaada kwako ndipo upige huduma kwa wateja kwa msaada zaidi..

CODE ya Azamtv *150*50*5#

CODE ya DStv *150*53#

CODE ya Startimes *150*63#

Kwa msaada zaidi 

+255658046655 Call/WhatsApp 

Share:

Oct 6, 2022

CHANNEL GANI UNAITAKA KWENYE TV YAKO!?


 TV inaweza ikakufanya uizunguke dunia.. popote utakapotaka kujua yanayojiri unaweza ukayajua ukiwa na remote yako tuu.. maamuzi ni yako..

Tuambie channels gani ama channels za nchi gani unataka kuangalia!?

Tutakwambia inapatikanaje na tutaifungaje!?

Check nasi WhatsApp +255658046655


Share:

Feb 28, 2020

Je LNB ikitoboka ndio imekufa!?


Moja kati ya maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara, kila mtu ana namna yake ya kuuliza ila nikiliweka katika mfumo rasmi nimeulizwa Je LNB ikitoboka ndio imekufa!? Nitakuja niwajuze zaidi...
Share:

Jun 9, 2018

MKOA GANI UNAIKOSA OFFER YA DSTV!!??

#DStvnimoto #Kamasiodstvpotezea
Niambie upo mkoa gani na je unaikosa offer mpya ya DStv!!??
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya mikoa kuuza visimbuzi kwa bei juu na huku sababu zikiwa nyingi, hii hapa ni nafasi ya pekee kwakon niambie upo mkoa gani na unauziwa bei gani dstv.
Offer ya DStv ni kama ifatavyo:-
Tsh 79,000 vifaa
Tsh 20,000 ufundi BURE!
Popote dar unaletewa
Unapata na kifurushi cha mwezi
Kuunganishwa piga/Text 0789476655
Whatsapp+255784378129  
Share:

May 18, 2018

ANGALIA KOMBE LA DUNIA KWA TSH 19,000 TU!

 
Hapa nazungumzia michuano ya kombe la dunia 2018 itakalofanyika urusi zaidi ya timu 30 kushiriki michuano hii..
Michuano hii inahusisha dunia hivyo wapenzi wa mpira duniani imeelekeza macho na masikikio kwenye michuano hii... Hapa kwa Tanzania kuna habari njema kutoka kwa wakongwe wa Digital, hapa nazungumzia Multichoice kupitia product yake ya DStv inakuletea michuano hii moja kwa moja toka urusi kwa kifurushi cha chini kabisa ambapo utalipia tsh 19,000 tu! licha ya kuangalia michuano ya kombe la dunia pia utaona channels nyengine zaidi ya 80 zikiwemo wa burudani, movie, watoto, michezo, makala, habari n.k
Umerahisishiwa ili uweze kupata unachostahili:-
Piga simu +255789476655 au Whatsapp+255784378129
DStv vifaa Tsh 79,000
Kufungiwa Tsh 20,000
Kama upo dar unaletewa popote ulipo bila kulipia zaidi!
Yote yanayohusu DStv namba za kupiga ni hizo hapo juu!!
Share:

Apr 17, 2018

MAFUNDI WA DSTV

 Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!?
Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo tunapaswa kuja hapo kukutengenezea!
Kutokana na ukweli kwamba ujaji wa mfumo wa Digital kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira kwa vijana kwa kuendana na wakati uliopo, mojawapo ya ajira hizo ni Ufundi wa kufunga Ving'amuzi. Mafundi wamekuwa wengi ambao wapo wenye sifa na wapo wasio na sifa..
Tuzungumzie mafundi wa DStv ieleweke kwamba kuna ofisi za Multichoice  ( DStv ) baadhi ya mikoa Tanzania isipokuwa kuna mawakala karibia nchi nzima.. Wapo mafundi wa Multichoice na wapo mafundi wa mawakala pia kuna mafundi wa kujitegemea.. 
Mafundi wanaweza kukufanya wewe mteja either ufurahie huduma za DStv ama uzichukie kutokana na namna ya ufundi wake atakaokufanyia kwako!
Fundi wa DStv anapaswa kuwa na vifaa vifatavyo:-
  • Satellite Finder ( kwa ajili ya kutafuta signal )
  • Drill Machine ( kwa ajili ya kutobolea )
  • Spana zote muhimu ( kwa ajili ya kufunga )
  • Nyundo
Ukiachilia vifaa hivyo pia anapaswa kutumia vifaa vyote vitakavyokuwepo kwenye Dish katika ufungaji kwani kila kilichomo kina kazi yake na endapo kikiachwa hata kimojawapo yapo madhara ambayo yatakusababishia mteja wa DStv gharama zisizo za lazima na kupata ukakasi na huduma za DStv kutokana na picha kukatakata mara kwa mara, kuganda n.k
 FUNDI WA DSTV ATAKUFUNGIA HIVI:-


Kwenye LNB kipokea Signal toka kwenye Satellite na Kupeleka kwenye Decoder ya DStv, Coaxial cable itafungwa vizuri..

kisha Coaxial cable itafunikwa na kifuniko maalumu cha kuzuia maji maji kuingia kwenye cable, maji ambayo yakiingia yanaweza kuleta madhara, kama kupoteza signal, kuunguza LNB n.k....

 Kwa ufanisi huu hakuna sababu ya kopo, hapa hata kunguru hawezi kuharibu chochote, hata mvua ikinyesha hakuna madhara yatakayotokea, hata muonekano ni wa kuvutia...

 Kuna mengi kwenye ufundi, je wewe una tatizo gani kwenye upande wa ufundi kwenye!?
  • Unataka mafundi wa kukuhamisha kwenye nyumba mpya unayohamia
  • Unataka mafundi huoni picha hata namba 100
  • Unahitaji mafundi kwa ajili ya Extra view
  • Mafundi kwa ajili ya Explora
  • Unahitaji mafundi kwa ajili ya kufunga kwenye
  1. > Hotel
  2. > Lodge
  3. > Bar
  4. > Office
  5. > Apartment
Ushauri na yote yanayohusu mambo ya kiufundi DStv Piga +255784378129
Whatsapp +255658046655
Ukitaka kununua DStv bofya hapa
Insta @mustaphamadish

Share:

Apr 5, 2018

DSTV Tsh 79,000/= | KIFURUSHI BURE | TUNAKULETEA BURE


Baada ya ile Offer kubwa iliyodumu kwa muda mrefu kumalizika..!! Bado Multichoice Tanzania imeona kuna kila sababu ya kuangalia namna ya kuwatafutia punguzo lengine ili muweze kufurahia huduma za DStv na sasa ni hii hapa kwa Tsh 79,000 tu unapata vifaa vyote pamoja na kufungiwa Tsh 20,000.. hii imerahisishwa zaidi kwa maana kuna maeneo ambayo mteja unafatwa mpaka ulipo ni wewe tu kupiga simu +255789476655 au Whatsapp+255784378129
Bei ya Tsh 79,000/= Vifaa vyote!
Kufungiwa Tsh 20,000/= na ili uweze kuona unachagua kifurushi na kulipia bofya link hapo chini:-
Kwa maelezo zaidi kama upo Instagram natumia @Mustaphamadish
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita